Thursday, December 19, 2013

Nafasi Ya Kazi - DerevaNafasi Ya Kazi - Dereva 

Kampuni maarufu ya uchukuzi iliyo na vituo vyake karibu na Nakuru na Mombasa ina nafasi ya kazi kwa Dereva wa Trela nzito. 

Ni lazima awe na vyeti vifuatavyo:-

Leseni halali ya I - Art. M/V
Kitambulisho halali
Barua kutoka kwa mwajiri wako wa zamani
Onyesha kwa vyeti kuwa umeendesha lori lenye uzito (semi trailer) kwa muda usiopungua miaka mitano.


Tuma barua na

No comments:

Post a Comment